iqna

IQNA

sheikh rafaat
Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 2
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Mahmood Rafaat alikuwa miongoni mwa wasomaji Qur'ani mahiri nchini Misri. Ingawa alikuwa na ulemavu wa macho, aliibua kwa namna fulani mtindo tofauti wa qiraa au usomaji Qur'ani ikilinganishwa na maqari au wasomaji wenzake kwa kutumia silika na hisia zake za kina.
Habari ID: 3475768    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11